Showing posts with label news. Show all posts
Showing posts with label news. Show all posts

MENEJA UWANJA WA MKAPA AONDOLEWA



TAARIFA: Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa leo, Agosti 9, 2022 amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo. Dkt, Hassan Abbasi kumpangia majukumu mengine Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Bw. Godon Nsajigwa.


Taarifa iliyotolewa na Dkt. Abbasi inasema kuwa Meneja huyo anapangiwa majukumu mengine kwa kushindwa kusimamia matumizi endelevu ya Uwanja wa Benjamin Mkapa.


Akieleza utekelezaji wa agizo hilo, amesema tayari taratibu zimekwishaanza za kupangiwa majukumu mengine na nafasi hiyo inatarajiwa kujazwa mara moja.


Source: #KitengeSports

Simba Alamba Dili Juu Ya Dili



 "CRDB ni official Simba Day partner."


"CRDB wameona ni muhimu kuwekeza kwenye michezo na wamechagua Simba sababu wanaona ukubwa wa Simba."


"Tunawashukuru CRBD kuwekeza kwenye Simba Day, najua huu ni mwanzo. Tunatamani siku moja kuwaona hata kwenye jezi. Baada ya Simba Day kuna CRDB Marathon na sisi tutashiriki."


"Hata kama kampuni haina rangi nyekundu, tuko tayari kufanya nayo kazi, tunaheshimu brand, hatuwezi kubadilisha rangi ya logo yao."- CEO Barbara Gonzalez. #SimbaNaCRDB #SimbaWeek #SimbaDay #SimbaDay2022 #NguvuMoja

Yanga Yachagua Meneja na Viongozi Wengine Wapya



Raisi wa clabu ya Yanga Eng. Hersi Ally Said Kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji ya Yanga imewateua Saada Kawemba Kuwa Mkurugenzi wa Mashindano na Walter  Harson Kuwa Meneja wa Timu. 


Tazama Taarifa Kamili


Sakho Avunja Ukimya, Afunguka Kuhusu Simba



Ikiwa imepita kama wiki tangu kiungo mshambuliaji wa Simba, Pape Sakho atwae tuzo ya Bao Bora kwenye michuano ya Caf.

Bao la Sakho liliingia kwenye kinyang’anyiro cha michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika akifunga dhidi ya Asec Mimosas Februari 13, mwaka huu katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.

Bao hilo alifunga kwa tiktak akimalizia mpira wa krosi tamu ya beki Shomari Kapombe na kumfanya Sakho kubeba tuzo akimbwaga Zouhair El Moutaraji wa Morocco anayeichezea Wydad Casablanca ambaye aliingia naye fainali.

Siku ya tuzo nchini Morocco, Sakho alionekana kuzungumza na nyota wa Bayern Munich, Saido Mane na kocha wa timu ya taifa ya Senegal, Aliou Cisse na nyota huyo amefunguka kwa mara ya kwanza kile alichozungumza na wakali hao.

Mwanaspoti limefanya naye mahojiano maalumu akiwa nchini Misri ambako Simba imeweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya. “Sadio Mane ni nuru yetu na ni mtu mnyenyekevu sana. Alinipongeza na kunitia moyo kwa kuniambia kuwa naweza kufanya vizuri zaidi, naweza kushinda tuzo aliyoshinda yeye mara mbili. Aliniambia niendelee na kazi na nitoe kila kitu ili kuisaidia timu yangu ya Simba

“Ni mara ya kwanza tulikutana, lakini wakati mwingine tulizungumza kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, kama nilivyosema Sadio ni mtu mzuri na mnyenyekevu sana,” alisema.

Nini alizungumza na kocha Cisse? Sakho anasema: “Nimebahatika kuongea dakika chache na kocha wa timu ya taifa ya Senegal, Cisse, akanipa ushauri katika maisha ya soka na binafsi. Ni mnyenyekevu na anajua kuisimamia timu... Lakini siwezi kujua iwapo nitaitwa timu ya Taifa kwa Kombe lijalo la Dunia, sina uhakika ila naomba niwemo kwenda kwenye michuano hiyo ili nitetee rangi za taifa langu.”

Kabla hata ya hiyo tuzo, staa huyo alikuwa anadaiwa kupata ofa mpya nje ya Simba, lakini yeye anafafanua kuwa kwake hilo haliwezi kukosekana ila wakala wake ndiye kila kitu. “Ni kawaida kupokea ofa au mawasiliano na timu, lakini namuacha wakala wangu alifanyie kazi kwa sababu anaijua kazi yake siwezi kuizungumzia sana.”

Sakho alisema tuzo imemuongezea thamani katika maisha ya soka na alistahili kutwaa na imempa hamasa zaidi kupambana.

“Najivunia kwa sababu nastahili kuwa na tuzo hii na ni hamasa kubwa kuendelea na kazi ambayo nimekuwa nikiwaza kuwashinda wengine. Nawapongeza pia viongozi wa Simba, mashabiki na wachezaji ambao wamekuwa wakinithamini na kunitia moyo kila wakati,” anasema nyota huyo.

“Nawashauri wachezaji wenzangu waendelee na kazi kwani wote wanastahili tuzo hii. Nawashauri wapambane zaidi na watoe kila kitu Mungu anaona kila kitu na kazi pekee ndio inalipa.”

Sakho alizungumzia maandalizi ya msimu ujao baada ya msimu uliopita timu yake kupoteza mataji matatu ya Ngao ya Jamii, Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) akisema: “Simba ni timu kubwa ambayo huwa na wachezaji bora na natumaini tutashinda kila kitu msimu huu Inshaallah ninawaamini wachezaji na tunaweza kufanya hivyo.”

Uzinduzi wa Jezi Ya Simba, Itatengenezwa Ulaya Siyo Asia



Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaz Mangungu amesema jezi za timu hiyo msimu wa 2022/23 zitazinduliwa wiki hii na zitatengezwa Ulaya badala ya Asia.



BONDIA MANDONGA APIGWA



BONDIA MANDONGA APIGWA KWA KO


Bondia Karim Mandonga amepoteza dhidi ya Shabani Kaoneka, Raundi ya 4 kwenye Uwanja wa Majimaji, Songea


Baada ya pambano Mandonga amesema: "Ni ajali kazini lakini nipo tayari kurudiana na mpinzani wangu."


MMOJA AONDOKA YANGA, WAKILI SIMON PATRICK AKABIDHIWA MIKOBA



TAARIFA: Kamati ya Utendaji ya Klabu ya Yanga imefanya Kikao Chake cha Kwanza cha Kikatiba leo Jumamosi Tarehe 30 Julai 2022, Serena Hotel jijini Dar es salaam chini ya Uenyekiti wa Rais wa Klabu Eng. Hersi Ally Said.


Pamoja na mambo mengi yaliyojadiliwa kwenye kikao hicho Kamati ya Utendaji ilipokea na kujadili pendekezo la Bw. Senzo Hammilton Mazingiza la kutokuongeza mkataba wake unaoisha tarehe 31 Julai 2022.


Bw. Senzo aliwasilisha ombi hilo lenye mkutadha wa sababu za kifamilia ambayo amekuwa nayo mbali kwa kipindi cha takribani miaka mitatu.


Ombi hilo lilipokelewa na baada ya kujadiliwa, Kamati ya Utendaji ilikubali ombi hilo na kumteua Wakili Simon Patrick kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa mpito (Interim Chief Executive Officer).


Aidha, Klabu ya Yanga inamshukuru Bw. Senzo kwa utumishi wake ulio bora hasa katika mchango wake kwenye eneo la utawala na kumtakia kila la heri.


KWA UFUPI



SENZO KUONDOKA YANGA, WAKILI SIMON PATRICK AKABIDHIWA MIKOBA


Klabu ya Yanga imetangaza kutomuongezea Mkataba Afisa Mtendaji Mkuu, Senzo Mazingiza anayemaliza mkataba wake kesho Julai 31, 2022 


Yanga imesema Senzo ndiye ameomba kutoongezewa mkataba kutokana na sababu za kifamilia. Wakili Simon Patrick ameteuliwa kukaimu nafasi


Mtanzania Ashinda Medali Uingereza

 

Mtanzania Alphonce Simbu Ashinda Medali ya Shaba Commonwealth Marathon inatofanyika huko Birmingham, Uingereza.


Simbu wa Tanzania Amekuwa mshindi wa Pili katika Mbio za marathon - ameshinda medali ya Shaba.


#KitengeSports

Neymar Mahakamani Oktoba Mwaka Huu



 Nyota wa soka kutokea Brazil Neymar atasimama Mahakamani mwezi Oktoba kwa tuhuma za ulaghai na rushwa kuhusiana na uhamisho wake kutoka klabu ya Santos kwenda klabu ya Barcelona mwaka 2013.


Kampuni ya Brazil Investment Group DIS iliyokuwa ikimiliki sehemu ya haki za uhamisho za nyota huyo imedai kuwa ilipokea ada ndogo kuliko ilivyostahili  huku pesa nyingine ikifichwa.


Watuhumiwa wengine katika kesi hiyo ni pamoja na wazazi wa Neymar, meneja wa zamani wa Santos Odilio Rodriguez, pamoja na aliyekuwa Rais na Makamu wa Rais wa Barcelona Sandro Rosell na Josep Maria Bartomeu.


Source: #KitengeSports

YANGA YAPEWA BONUS YA MAMILIONI

 

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SPORTPESA leo imetangaza kuiongezea Club ya Yanga bonus ya milioni 50 katika zile milioni 100 za awali ambazo zilipangwa ipatiwe pale inaposhinda Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara. 


Sportpesa ambayo ndio Mdhamini Mkuu wa Yanga imeyasema haya leo wakati ikitangaza kuiongezea Yanga mkataba wa miaka mitatu wa Bilioni 12 ambapo kila mwaka Club hii itakuwa ikipewa Bilioni 4. 

RITA: Important Public Notice | Rita Registeration | SIM Card registration.



style="display:block"
data-ad-client="ca-pub-4841136723488243"
data-ad-slot="4464594083"
data-ad-format="auto"
data-full-width-responsive="true">







Historical Background:




style="display:block"
data-ad-client="ca-pub-4841136723488243"
data-ad-slot="4464594083"
data-ad-format="auto"
data-full-width-responsive="true">




RITA was officially launched on the 23rd June 2006 and replaces what was known as the Administrator Generals Department in the Attorney Generals Chambers, Ministry of Justice and Constitutional Affairs. It is an Executive Agency under the Attorney Generals Chambers in the Ministry of Justice and Constitutional Affairs.



The history of RITA dates back in 1917 when the German Colonial power enacted a law for registration of births and deaths (Proclamation No.15 of 1917 (Civil Area). When the British took over the administration of Tanganyika (Tanzania Mainland) from the Germans retained the Register of births and deaths established under the Germans law by saving it under the Births and Deaths Registration Ordinance, 1920 (Cap.108). RITA UHAKIKI



style="display:block"
data-ad-client="ca-pub-4841136723488243"
data-ad-slot="4464594083"
data-ad-format="auto"
data-full-width-responsive="true">









style="display:block"
data-ad-client="ca-pub-4841136723488243"
data-ad-slot="4464594083"
data-ad-format="auto"
data-full-width-responsive="true">




Interview Results for TMC, TBC, MNH and TASAC Released by UTUMISHI




THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIAPRESIDENT’S OFFICE


PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT


UTUMISHI: MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO MC, TBC, MNH and TASAC - OCTOBER, 2019


Interview Results for TMC, TBC, MNH and TASAC Released by UTUMISHI Today 20th October, 2019 | PDF File







The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is a government organ with a status of independent Department established specifically to facilitate the recruitment process of employees to the Public Service. Public Service Recruitment Secretariat was established by the Public Service Act No. 8 0f 2002 as amended by Act No. 18 of 2007, section 29(1).















Hereunder are Results for TMC, TBC, MNH and TASAC Interviews Conducted 18th October, 2019 Released by UTUMISHI Public Service Recruitment Secretariat today 20th October, 2019. Oral interviews should be conducted exactly as instructed in the previous Call for Interview advert.








CLICK LINK HAPA CHINI KU- DOWNLOAD PDF FILE YA MATOKEO YOTE: To check all results click the links below: 



Download Your National ID (NIDA) Here | Download NAMBA NA KITAMBULISHO CHA NIDA | National ID Verification Portal


style="display:block; text-align:center;"
data-ad-layout="in-article"
data-ad-format="fluid"
data-ad-client="ca-pub-4841136723488243"
data-ad-slot="9966410195">















Download NAMBA NA KITAMBULISHO CHA NIDA  | National ID Verification Portal

NIDA National ID Verification Portal | Namba Za NIDA, Kitambulisho Cha Taifa, National ID Welcome to National ID Verification Portal

National Identification Authority (NIDA) is a public institution with a mandate of registering and issuing Secured National ID Cards to Citizen, Legal Residents and Refugees who are 18 years and above.





NIDA also manages National ID Database. Data stored in NIDA database is then shared by NIDA stakeholders eg. Banks, Social Security funds for their customer Identifications processes.


This portal is for retrieving information from National ID Database.





Intended users are


style="display:block; text-align:center;"
data-ad-layout="in-article"
data-ad-format="fluid"
data-ad-client="ca-pub-4841136723488243"
data-ad-slot="9966410195">





i) NIDA Stakeholders


ii) National ID card owner.


Who uses this portal to set PIN CODE which shall be used to disclose his or her information when needed.






CLICK LINKS HAPA CHINI KUPATA NAMBA YAKO YA NIDA NA COPY YA KITAMBULISHO CHAKO CHA NIDA: NAKALA YA KITAMBULISHO~CLICK HERE!

FAHAMU NAMBA YAKO (NIN)-CLICK HERE!

NIDA NATIONAL ID VERIFICATION PORTAL CLICK HERE!



style="display:block; text-align:center;"
data-ad-layout="in-article"
data-ad-format="fluid"
data-ad-client="ca-pub-4841136723488243"
data-ad-slot="9966410195">




NATIONAL IDENTITY CARD.

NIDA ,NIDA, NIDA

NIDA,NIDA,NIDA

NIDA,NIDA,NIDA





DOWNLOAD APP HERE




Names Called For Interview At TANESCO on 14 August To 17 August 2019



Majina Ya Usaili, Call For Interview TANESCO, Ajira Mpya TANESCO, Nafasi Za Kazi TANESCO, Ajira Serikalini 2019, Ajira Portal



The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is a government organ with a status of independent Department established specifically to facilitate the recruitment process of employees to the Public Service.







Public Service Recruitment Secretariat was established by the Public Service Act No. 8 0f 2002 as amended by Act No. 18 of 2007, section 29(1)




Jobs Opportunities at Tanzania Immigration Department | Idara yaUhamiaji Tanzania




Nafasi za kazi Uhamiaji, Idara ya uhamiaji ajira, Ajira mpya uhamiaji, Tanzania Immagration department, JKT opportunities, Ajira mpya Idara ya uhamiaji Tanzania, Nafasi za kazi Idara ya uhamiaji Tanzania










National service is a system of either compulsory or voluntary government service, usually military service. Many young people spent one or more years in such programmes. Compulsory military service typically requires all male citizens to enroll for one or two years, usually at age 18 (later for university-level students), while voluntary national service requires only three months of basic military training.


National Service was established on 10th July 1963 emanating from the ideas of the Father of the Nation, the late President Julius K Nyerere who once said ” National Service is the demand made by the Nation on youth and youth response in fulfilling their duty in building the Nation”.







About Immigration Department



Who we are




The Immigration Services Department is established under Section 4(1) of the Immigration Act of 1995 Chapter 54 as amended by Act No.8 of 2015.  It gives the Department the authority to control and facilitate immigration issues in the United Republic of Tanzania. The Department is one of the security organs under Ministry of Home Affairs.


Vision



To become an efficient and effective Institution, which provides high quality Immigration services that meet both national and international standards.


 Mission



To facilitate and control movements of persons through implementation of relevant Laws and Regulations in order to safeguard national security and economic interests.



DOWNLOAD PDF HERE TO READ ANNOUNCEMENT

UTUMISHI: How to Apply Government Job In Public Recruitment Portal A-Z? Applicants User Manual Guide | MUST READ






























AJIRALEO TANZANIA

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

PRESIDENT’S OFFICE

PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT 


The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is a government organ with a status of independent Department established specifically to facilitate the recruitment process of employees to the Public Service. Public Service RecruitmentSecretariat was established by the Public Service Act No. 8 0f 2002 as amended by Act No. 18 of 2007, section 29(1). 





DOWNLOAD PDF FILE YA MAELEKEZO: HOW TO APPLY FOR A GOVERNMENT JOB IN PUBLIC RECRUITMENT PORTAL? APPLICANTS-USER MANUAL GUIDE. READ AND DOWNLOAD THE PDF FILE BELOW





















The Vice-Chancellor of the University of Dar es Salaam announces to all higher education graduates




The Vice-Chancellor of the University of Dar es Salaam announces to all higher education graduates





 Tue, 30.Jul.2019 16.57
The Vice-Chancellor of the University of Dar es Salaam announces to all higher education graduates that the University of Dar es Salaam has organized entrepreneurship courses to be offered in a total of ten regions of Tanzania (eight regions in mainland Tanzania and two regions in Zanzibar) from August to September October 2019.

For more Details see the appendix


 CLICK HERE20190730_045452_UDSM_MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WAHITIMU WA VYUO VYA ELIMU YA JUU.pdf

NECTA Announcement About Form Six 2019 And Teachers Results Slips



Baraza La Mtihani Tanzania NECTA, NECTA Tanzania, NECTA Result Slips 2019, NECTA Form Six Results Slips 2019, NECTA Exam

After Tanzania Mainland had pulled out of the East African Examinations Council, in 1971 and before NECTA was established by Law, in 1973, the Curriculum and Examinations Section of the Ministry of Education was responsible for all examinations. With the establishment of NECTA, the Examinations became its responsibility in accordance with the law. The Curriculum continued to be under the Ministry of Education and the University College, Dar es Salaam until when it was taken over by the newly established, autonomous Institute of Curriculum Development (ICD) in 1975, which in 1993 was renamed as the Tanzania Institute of Education (TIE).
Between 1972 and 1976 the first staff of NECTA were recruited, among them was Mr. P. P Gandye who was recruited in 1972 and later on in 1994 was appointed as Executive Secretary. The other staff members continued to be recruited and especially so when NECTA's premises moved from the Ministry of Education Headquarters to the present premises at Kijitonyama near Mwenge. Presently the number of NECTA's staff is more than 250.