Raisi wa clabu ya Yanga Eng. Hersi Ally Said Kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji ya Yanga imewateua Saada Kawemba Kuwa Mkurugenzi wa Mashindano na Walter Harson Kuwa Meneja wa Timu.
Tazama Taarifa Kamili
Raisi wa clabu ya Yanga Eng. Hersi Ally Said Kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji ya Yanga imewateua Saada Kawemba Kuwa Mkurugenzi wa Mashindano na Walter Harson Kuwa Meneja wa Timu.
Tazama Taarifa Kamili
TAARIFA: Kamati ya Utendaji ya Klabu ya Yanga imefanya Kikao Chake cha Kwanza cha Kikatiba leo Jumamosi Tarehe 30 Julai 2022, Serena Hotel jijini Dar es salaam chini ya Uenyekiti wa Rais wa Klabu Eng. Hersi Ally Said.
Pamoja na mambo mengi yaliyojadiliwa kwenye kikao hicho Kamati ya Utendaji ilipokea na kujadili pendekezo la Bw. Senzo Hammilton Mazingiza la kutokuongeza mkataba wake unaoisha tarehe 31 Julai 2022.
Bw. Senzo aliwasilisha ombi hilo lenye mkutadha wa sababu za kifamilia ambayo amekuwa nayo mbali kwa kipindi cha takribani miaka mitatu.
Ombi hilo lilipokelewa na baada ya kujadiliwa, Kamati ya Utendaji ilikubali ombi hilo na kumteua Wakili Simon Patrick kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa mpito (Interim Chief Executive Officer).
Aidha, Klabu ya Yanga inamshukuru Bw. Senzo kwa utumishi wake ulio bora hasa katika mchango wake kwenye eneo la utawala na kumtakia kila la heri.
KWA UFUPI
SENZO KUONDOKA YANGA, WAKILI SIMON PATRICK AKABIDHIWA MIKOBA
Klabu ya Yanga imetangaza kutomuongezea Mkataba Afisa Mtendaji Mkuu, Senzo Mazingiza anayemaliza mkataba wake kesho Julai 31, 2022
Yanga imesema Senzo ndiye ameomba kutoongezewa mkataba kutokana na sababu za kifamilia. Wakili Simon Patrick ameteuliwa kukaimu nafasi
👤🪪NIDA ONLINE SOFT COPY.
> Kutokana na Maboresho ya Mfumo Vinaitajika vitu vichache tu ili kupata Online Copy ya Kitambulisho Chako Cha NIDA:
👉TUMA:
1. Majina matatu ya mama.....
2. Jina la shule ya msingi Ulipohitimu .......
3. Mwaka ULIOHITIMU shule Ya Msingi......
4. Wilaya Ulipohitimu Shule Ya Msingi.......
5. Namba Ya NIDA....
⚠️💸MALIPO NI BAADA YA KAZI.
®️Malipo Yote Yanapitia Lipa Namba, Jina - "Mapato Online"
🪪Kupata Orginal Copy ya Kitambulisho Chako [ PDF ] ni Tsh. 8,000 Badala ya ~10,000~
*>💸⚠️ Ukiwa Tayari Kulipia Mara tu Kazi Ikikamilika Kuanzia Sasa, Tuma Taarifa Hizo. Maana Kikishazalishwa Halafu Kikafutwa Hutapata Online Copy Tena.*
💳BONYEZA HAPA KUONA MIFANO NA JINSI KULIPIA ONLINE .
👇🏼👇🏼
https://www.mapatoonline.com/2022/06/Nida.html
Mawasiliano:
Njoo Inbox au
+255745922142
🔄SHARE NA WENGINE