Raisi wa clabu ya Yanga Eng. Hersi Ally Said Kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji ya Yanga imewateua Saada Kawemba Kuwa Mkurugenzi wa Mashindano na Walter Harson Kuwa Meneja wa Timu.
Tazama Taarifa Kamili
No comments:
Post a Comment