Showing posts with label Azam Fc. Show all posts
Showing posts with label Azam Fc. Show all posts

Al Hilal Yawashitaki Wachezaji Wanaotajwa Simba SC Azam FC



Al Hilal Wamewashitaki wachezaji watatu waliovunja mkataba ka klabu hiyo bila kufuata utaratibu.


Wachezaji waliositisha mikataba hiyo ni Fabrice Ngoma anayehusishwa Simba, Lamin Jarjou akitajwa Azam FC pamoja na Ibrahim Imoro ambaye bado haijajulika anataka kutimkia timu gani.


Ngoma anadaiwa kusitisha mikataba wake kinyume na taratibu na hiyo kutokuwa na mwanzo mbaya ndani ya timu hiyo kutokana na kuwa na majeruhi wa mara kadhaa.


Kiungo huyo tayari yupo Dar es Salaam akisubiri barua yake ya kumalizana na Al Hilal na wakati wowote anaweza kusaini Simba tofauti na ilivyozushwa kuwa atasaini Yanga au Azam FC.


Wachezaji hao ambao wapo chini ya kocha Florent Ibenge wako njiapanda kwani hatima ya maombi yao ya kusitisha mikataba haijafika tamati.

Uzinduzi wa Jezi Ya Simba, Itatengenezwa Ulaya Siyo Asia



Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaz Mangungu amesema jezi za timu hiyo msimu wa 2022/23 zitazinduliwa wiki hii na zitatengezwa Ulaya badala ya Asia.



Matokeo: Azam Fc Vs Wadi Degla

 

Klabu ya Azam FC imepokea kipigo cha 1-0 dhidi ya klabu ya Wadi Degla katika mchezo wa kwanza wa kirafiki baada ya kuweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya Nchini Misri.

source: #KitengeSports