YANGA YAPEWA BONUS YA MAMILIONI

 

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SPORTPESA leo imetangaza kuiongezea Club ya Yanga bonus ya milioni 50 katika zile milioni 100 za awali ambazo zilipangwa ipatiwe pale inaposhinda Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara. 


Sportpesa ambayo ndio Mdhamini Mkuu wa Yanga imeyasema haya leo wakati ikitangaza kuiongezea Yanga mkataba wa miaka mitatu wa Bilioni 12 ambapo kila mwaka Club hii itakuwa ikipewa Bilioni 4. 

No comments:

Post a Comment