Klabu ya Simba imepokea kichapo cha magoli 2-0 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Nchini Misri dhidi ya klabu ya Haras El Hodood ya Nchini humo.
Haras El Hodood itashiriki Ligi kuu Misri msimu ujao 2022-23 baada ya kupanda daraja msimu uliomalizika.
#KitengeSports

No comments:
Post a Comment