Leo Yanga imecheza mchezo wa Kirafiki na Transit Camp na kuibuka na ushindi wa magoli 5-1
Wafungaji;
- Mayele Magori 3 ⚽️⚽️⚽️
- AzizKi Goli 1⚽️
- Makambo Goli 1 ⚽️
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
No comments:
Post a Comment