MSEMAJI WA SIMBA: "NI MBAYAAA"



 Kupitia ukurasa wake wa Instagram msemaji wa klabu ya @simbasctanzania @ahmedally_ ameandika kuwa.


“Nimevumilia nimeshindwa acha tu niseme NI MBAYAAA


Vaa lakin ukijua kuwa umevaa kitu kibayaaaaa na ukivaa unanyata


Na Sidhani kama KAF watakubali Uniform zenye miundombinu maana nimeona mpaka machinjio ya Vingunguti na Dampo la Kinyamwezi


Ni mbayaa mpaka aibu tunaona sisi”

No comments:

Post a Comment