Klabu Ya Simba SC Tanzania imemtambulisha rasmi Fabrice Ngoma.

 


... || BREAKING
Klabu Ya  Simba SC Tanzania imemtambulisha rasmi Fabrice Ngoma.

Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji, Fabrice Ngoma kutoka kwa vigogo wa Sudan, Al Hilal Omdurman kwa mkataba wa miaka miwili.

Ngoma (29) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye pia anamudu kucheza nafasi ya beki wa kati akiwa na uzoefu na michuano ya Kimataifa amewahi kuvitumikia vilabu vya AS Vita ya DRC na Raja Casablanca ya Morocco.


MFAHAMU FABRICE NGOMA

Amesajiliwa na klabu ya Simba akiwa huru (Free agent) baada ya mkataba wake na Al Hilal kumalizika 1 July 2023.

◉ Born — 22 January 1994 (29)
◉ Citizenship — Dr Congo πŸ‡¨πŸ‡©
◉ Height — 1,88 m (feet 6.2in)
◉ Position — Central midfielder

Mwamba ameupiga katika klabu mbalimbali kama ifuatavyo ;

◉ 22/23 — Al Hilal πŸ‡ΈπŸ‡©
◉ 22/23 — Al Fahaleel SC πŸ‡¦πŸ‡ͺ
◉ 19/20 — Raja Casablanca πŸ‡²πŸ‡¦
◉ 17/18 — AS Vita πŸ‡¨πŸ‡©
◉ 16/17 — Ifeanyi Ubah πŸ‡³πŸ‡¬
◉ 15/16 — Itancheite πŸ‡¨πŸ‡©

Stats career

πŸ‘• 05 — Al Hilal πŸ‡ΈπŸ‡©
πŸ‘• 04 — Al Faheel SCπŸ‡¦πŸ‡ͺ
πŸ‘• 88 — Raja Casablanca πŸ‡²πŸ‡¦
πŸ‘• 23 — AS Vita πŸ‡¨πŸ‡©
πŸ‘• 58 — Ifeanyi Ubah πŸ‡³πŸ‡¬

πŸ“ Amejiunga na klabu ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili.



No comments:

Post a Comment