Yanga Yapata Mamilioni Mengine kutoka CRDB

 


Clabu ya Yanga Fc Imepata Milioni 25 kutoka kwa Wadhamini wa Wiki ya Yang CRDB

"CRDB Bank imechagua Klabu Kubwa💪🏽🔰

@crdbbankplc ➕ 𝗪𝗜𝗞𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝟮𝟬𝟮𝟮 “𝘉𝘺𝘶𝘵𝘪𝘉𝘺𝘶𝘵𝘪 "

#ByutiByuti 
#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko....." CRDB Wameandika Wakati Wakionesha Hati ya Malipo.

No comments:

Post a Comment