YANGA imecheza mnchezo wa pili wa kuijipima nguvu wakishusha kipigo kizito kwa Friends Ranger wakishinda kwa mabao 9-0.
Yanga Katika Ukrasa Wao Wa Facebook wamesema,
"Leo asubuhi tumecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Friends Rangers na kuibuka na ushindi wa magoli 9-0
Wafungaji:
Mayele - Goli 1⚽️
Aucho - Magoli 2 ⚽️⚽️
Kambole - Goli 1 ⚽️
Nkane - Goli 1 ⚽️
Clemence - Magoli 2 ⚽️⚽️
Jesus - Goli 1 ⚽️
Yacouba - Goli 1⚽️...."

No comments:
Post a Comment