Showing posts with label NBC PREMIER LEAGUE. Show all posts
Showing posts with label NBC PREMIER LEAGUE. Show all posts

Wana Yanga Sc Wapata Ajali Leo

 



Taarifa Kutoka klabu ya Yanga Inasema,

"Kuna taarifa za Ajali maeneo ya Msata kwa Mashabiki wetu waliokuwa wakisafiri kuja Arusha kutazama mechi ya kesho. 


Tunaendelea kufuatilia kwa karibu, tutatoa taarifa rasmi. Kwasasa tunaomba Dua na Sala zenu🙏🏽


#TimuYaWananchi..."

Full Time: Yanga Sc Vs Polisi Tanzaniq



Clabu ya Yanga imeifunga timu ya Polisi Tanzania Ambapo Yanga Imeifunga Magoli Mawili Huku Polisi Tanzania Wakifunga Goli moja

 Mchezo umefanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid


POLISI TZ 1-2 YANGA

⚽Kipemba 34'

⚽Mayele 42'

⚽Mwamnyeto 85'


Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara,Yanga wameanza kampeni za kuutetea ubingwa wao kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika dimba la Sheikh Amri Abeid