Showing posts with label Mtibwa Sugar. Show all posts
Showing posts with label Mtibwa Sugar. Show all posts

Banda Wa Mtibwa Sugar Alamba Dodo Afrika Kusini



 Klabu ya Chippa United ya Afrika Kusini imetangaza kumsajili mlinzi wa kati wa kimataifa wa Tanzania Abdi Banda kutoka klabu ya ya Ligi kuu Tanzania Mtibwa Sugar.


Banda anarejea Afrika Kusini ambapo amewahi kuhudumu kunako vilabu vya Baroka FC na Highlands Park za nchini nchini humo.


Source: #KitengeSports