Timu ya Taifa Tanzania imesonga mbele kwenda hatua inayofuata katika michuano ya kufuzu kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN.
Stars imefuzu kwa matokeo ya jumla ya 3-1 kufuatia ushindi 1-0 kwenye mchezo wa kwanza na ushindi wa 2-1 katika mchezo wa marudiano.
Magoli ya Stars leo yamefungwa na Abdul Sopu na Dickson Job aliyefunga kwa mkwaju wa penalti.

No comments:
Post a Comment